Gihon ni jina (kutoka Kiebrania Giħôn, גיחון, ambalo linaweza kutafsiriwa kama "kupasuka") la mto wa pili uliotajwa katika sura ya pili ya Kitabu cha Mwanzo katika Biblia.

Gihoni inasemekana kama mmojawapo ya mito minne (pamoja na Tigris, Eufrate na Pishon) iliyotoka nje ya bustani ya Edeni iliyounganishwa kutoka mto mmoja ndani ya bustani.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gihon kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.