'

Giorgio Abetti
Giorgio Abetti
Amezaliwa(5 Oktoba 1882
Amefariki24 Agosti 1982
Kazi yakemtaalamu wa Astronomia


Giorgio Abetti (5 Oktoba 1882 - 24 Agosti 1982) alikuwa mtaalamu wa Astronomia wa jua kutoka nchini Italia.

Alizaliwa huko Padua, akafundishwa katika vyuo vikuu vya Padua na Roma.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giorgio Abetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.