Girgis wa Asiut na wenzake

Girgis wa Asiut na wenzake 5,000 (walifariki Asiut, Misri, 1169) ni Wakristo waliouawa na serikali ya Kiislamu ya nchi yao.

Girgis alikuwa mmonaki, halafu askofu wa Kikopti wa mji huo.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakopti kama watakatifu wafiadini.

Tazama pia

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.