Giuseppe Cindolo
Giuseppe "Pippo" Cindolo (alizaliwa Avellino, Italia, 5 Agosti 1945) ni mwanariadha wa zamani wa Italia aliyeshiriki mbio za masafa marefu.
Alishika nafasi ya tatu katika Mashindano ya Riadha ya Ulaya ya mwaka 1974 kwenye mbio za mita 10,000. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "La squadra nazionale" (kwa Kiitaliano). fidal.it. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Cindolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |