Godwin Mawuru

Mwigizaji kutoka Nchini Zimbabwe

Godwin Mawuru (15 Julai 1961 - 24 Mei 2013) alikuwa mkurugenzi na mtayarishaji wa filamu wa Zimbabwe.

Historia hariri

Alizaliwa Shamva, Mawuru alianza kazi yake ya kuigiza jukwaani miaka ya themanini, akifanya kazi katika maeneo anuwai ikiwa ni pamoja na kuigiza, kuongoza na kufanya kazi nyuma ya jukwaa.[1].Alicheza kwanza kama mkurugenzi katika filamu ya The Tree Is Mine mnamo mwaka 1987.[1] Anajulikana kimataifa kwa filamu ya Neria ya mwaka 1993.[2][3] Kama mtayarishaji, anajulikana sana kwenye soap opera ambayo ni ya kwanza na ndefu zaidi "Studio 263" ya Zimbabwe.[1]

Amefariki akiwa na miaka 51 tarehe 24 Mei mwaka 2013.[4]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 "Studio 263 producer Godwin Mawuru dies", 24 May 2013. Retrieved on 30 May 2013. Archived from the original on 2016-03-03. 
  2. "The changing face of Africa", April 9, 1993. 
  3. Avis L. Weathersbee. "`Neria' Probes Zimbabwe's Awakening to Modern Culture", November 12, 1993. 
  4. "Zimbabwe: Filmmaker Mawuru Dies", 27 May 2013. Retrieved on 30 May 2013. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Godwin Mawuru kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.