Gof Dukana ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 750 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit, Kenya[1][2].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org