Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus au Gordian I (takriban 15912 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na mwana wake Gordian II, kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Maximinus Thrax ambaye waliasi dhidi yake.

Shaba inayoonyesha Kaizari Gordian I

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.