Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus (takriban 19212 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Alijulikana kama Gordian II kwa vile alitawala pamoja na baba yake, Gordian I, wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.

Shaba inayoonyesha Kaizari Gordian II

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordian II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.