Goris (Kiarmenia: Գորիս; mpaka 1924, Geryusy, Geryusi au Gerusi; zamani, Goraik, Gores, Hin Kores, Kores, Korus, Koru, Kuris, Zangizour, Zankazour, na Kyuryus) ni mji uliopo kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Takriban kilomita 240 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan na km 70 kutoka Syunik Marz katikati mwa Kapan. Mji una wakazi wapatao 21,935 (Sensa ya 2008).

Mji wa Goris

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.