Grace Matata

Mwana muziki wa kike
(Elekezwa kutoka Grace matata)

Grace Matata ni mwanamuziki wa kike wa Tanzania anayeimba muziki wa Bongo Flava.[1]

Grace Matata

Grace akiwa katika IWD2019
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanamuziki

Mwanadada huyu, ambaye pia anacharaza gitaa, ana uwezo mkubwa sana wa kupangilia nyimbo zake (composer) kuanzia utunzi, mpangilio wa sauti hata mpangilio wa Ala za muziki.[2]. Alianza safari ya muziki mnamo mwaka 2010 aliposajiliwa katika shirika la Music Lab (M-lab)[3]

Elimu hariri

Grace alimaliza elimu yake ya sekondari katika shule ya Tambaza, baadaye akajiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha.

Nyimbo hariri

  1. Hello[4]
  2. Free Soul[5]
  3. Utanifaa[6]

Viungo vya Nje hariri

Marejeo hariri

  1. http://www.sheroes.co.tz/sheroes.html Archived 8 Machi 2019 at the Wayback Machine. iliangaliwa tar 7 March 2019
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07. 
  4. https://mdundo.com/song/47835
  5. https://www.youtube.com/watch?v=RsmvEBwXFqI
  6. https://www.youtube.com/watch?v=rVbLmonoMtQ
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Matata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.