Grande Hotel Beira

Grande Hotel Beira ilikuwa hoteli ya kifahari huko Beira, Msumbiji. Ilifunguliwa mnamo mwaka 1954 na kuendeshwa hadi 1974, ilipofungwa kwa sababu ya ukosefu wa wageni.

Grande Hotel, Beira, Msumbiji

Jengo hilo lilitumika kama kituo cha kijeshi katika Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Msumbiji, na kwa sasa ina ukubwa zaidi ya mita za mraba 3,500. [1]

Marejeo hariri

  1. Ivo, F. (2008) Estudo preliminar para a desocupação e demolição do Grande Hotel na Beira. Beira: Francisco M. Ivo Arquitecto