Katika utarakilishi na uchoraji, gridi au mistari gridi (kwa Kiingereza: grid au gridlines) ni mfululizo wa mistari inayopitana. Gridi zinatumia kawaida ili kupanga na kuchora michoro.

Gridi zinazotumika ili kuchora bendera ya Kanada.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).