Gumesindi na Servidi

Gumesindi na Servidi (walifariki Cordoba, leo nchini Hispania, 852) walikuwa Wakristo waliofia imani yao chini ya utawala wa Waislamu. Gumesindi alikuwa padri na Servidi mmonaki.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Januari [1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.