Halima Ali Adan
Halima Ali Adan ni Msomali mwanaharakati wa haki za kijinsia, na mtaalamu wa ukeketaji. Ni mwenyekiti mwenza wa kikosi kazi cha ukatili wa kijinsia na meneja wa programu Okoa Watoto na Wanawanake wa Somalia.
Halima Ali Adan | |
---|---|
| |
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mwanaharakati |
Maisha
haririAdan alizaliwa na kukulia Mombasa, Kenya.[1] Alisomea sayansi ya kompyuta chuo kikuu cha Greenwich huko London ambapo alipata shahada yake ya kwanza. Baada ya kupata shahada ya pili ya mafunzo ya maendeleo, Adan alianza kufanyia kazi katika shirika la kutoa huduma za intaneti Kenya.[1][2]
Shughuli
haririTangu mwaka 2014, Adan aliajiriwa na shirika la Save Somali Women and Children (SSWC) kama meneja wa program na mwenyekiti mwenza wa kikosi kazi cha ukatili wa kijinsia.[3] SSWC ilianzishwa mwaka 1992 Mogadishu na mwanamke wa kisomali, ambaye lengo lake kutengeneza shirika lisilo la kibiashara ambalo litaunga mkono wanawake na wasichana wa Kisomali ambao wamepitia uzoefu wa kikatili na umaskini katika jamii zao.[4]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "International Women's Day: Giving more assistance to the vulnerable community in Somalia for the last 2 years". gov.UK. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Halima Adan". Peace Builders.org. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dialogue for Action on Aid Localisation in Somalia". Humanitarian Leadership Academy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-21. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Who is SSWC?". Save Somali Women and Children. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-25. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Halima Ali Adan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |