Halvard Mtakatifu (jina asili: Hallvard Vebjørnsson; 1020 hivi – 1043) ni msimamizi wa Oslo, mji mkuu wa Norwe.

Mt. Halvard katika mhuri wa Oslo

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini kwa sababu aliuawa katika jitihada za kumuokoa mwanamke mjamzito dhidi ya wasingiziaji wake.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.