Haman Adama, alijulikana kwa jina la Halimatou Mahonde. Amezaliwa Garoua mwaka 1950 – 29 Aprili 2024), alikuwa mwanasiasa wa Cameroon aliyehudumu kama Waziri wa Elimu kuanzia mwaka 2004 hadi 2009.

kuzaliwa

hariri

Alizaliwa mwaka 1950, Adama alikulia katika wilaya ya Bénoué. Alipewa mafunzo yake katika Shule ya Kitaifa ya Utawala na Uhakimu (ENAM). Aliingia serikalini mnamo tarehe 18 Machi 2000, kama Katibu wa Nchi wa Elimu ya Kitaifa. Baadaye, alipata wadhifa wa kuwa Waziri wa Elimu ya Msingi kuanzia tarehe 8 Agosti 2004 hadi 30 Juni 2009.

Adama alifariki tarehe 29 Aprili 2024.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haman Adama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.