Hanna Hamdi (alizaliwa 26 Novemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya VfR Warbeyen nchini Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Hanna Hamdi". Spiegel. Iliwekwa mnamo 10 July 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Jordan vs Tunisia". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 29 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hanna Hamdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.