Herieth Paul

Mwanamitindo wa nchini Tanzania

Herieth Paul (amezaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 14 Desemba, 1995) ni mwanamitindo kutoka Tanzania.

Herieth Paul
Alizaliwa 1995
Dar es Salaam, Tanzania
Kazi yake Mwanamitindo

Maisha hariri

Mama yake, Nsia Paul ni mwanadiplomasia wa Tanzania High Commission huko Ottawa, Kanada. Ana dada anayeitwa Happiness Floyd.

Tangu mwisho wa mwaka 2018, amekuwa kwenye uhusiano na mwanamitindo wa Sudan Kusini, Monywiir Deng Dharjang, ambaye mnamo Mei 2020 alitangaza kuwa wanatarajia mtoto, ambapo mnamo Februari 10, 2021, Paul na Dharjang kwenye akaunti yao ya Instagram walimtambulisha mwana wao Riael.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herieth Paul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.