Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills

Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills ni kati ya hifadhi za taifa nchini Kenya. Inapatikana katika kaunti ya Makueni.

Ndani yake ipo safu ya volkeno ya Chyulu Hills.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: