Hilda Tadria

Mwanaharakati wa haki za wanawake Uganda.


Hilda M. Tadria ni mwanaharakati wa haki za wanawake Uganda na mtaalamu wa mambo ya jinsia na maendeleo ya jamii. Ni mkurugenzi mtendaji wa Mpango wa Ushauri na Uwezeshaji kwa Wanawake na Vijana nchini humo (MEMPROW). Amezishauri NGOs duniani kote kuhusu jinsia, usimamizi wa taasisi na maendeleo ya kijamii, na amekuwa profesa msaidizi Chuo Kikuu cha Makerere .

Hilda Tadria

Nchi Uganda
Kazi yake mshauri wa jinsia

Maisha ya awali hariri

Tadria ana shahada ya kwanza ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Makerere, shahada ya uzamili ya maswala ya anthropolojia kutoka Chuo cha Newnham, Cambridge, Uingereza, na Shahada ya Uzamivu ya anthropolojia ya kijamii kutoka Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani. [1] [2].

Kazi hariri

Tadria amefanya kazi kama mshauri wa jinsia, usimamizi wa taasisi na maendeleo ya kijamii ya Benki ya DuniaUNDP, UNIFEM, serikali ya Uganda Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Kanada (CIDA) na NOVIB .[3]

Marejeo hariri

  1. "Hilda Tadria, Uganda". africawln.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-11. Iliwekwa mnamo 10 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Shetty, Priya (October 2006). "Hilda Tadria: proponent of gender equality and maternal health". The Lancet 368 (9546): 1487. PMID 17071271. doi:10.1016/S0140-6736(06)69623-2. Iliwekwa mnamo 10 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Hilda Tadria, Uganda". africawln.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-11. Iliwekwa mnamo 10 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)"Hilda Tadria, Uganda" Archived 11 Novemba 2017 at the Wayback Machine.. africawln.org
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilda Tadria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.