Honorati wa Vercelli

Honorati wa Vercelli anakumbukwa kama askofu wa 2 wa Vercelli (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 396 hadi kifo chake.

Kabla ya hapo aliishi na mtangulizi wake Eusebi wa Vercelli monasterini[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92418
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.