Hopa ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Artvin huko nchini Uturuki. Takriban km 67 kutoka mjini kwa Artvin. Kwa upande wa mashariki, mji upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi karibu kidogo na mpaka wa nchi ya Georgia.

Hopa

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hopa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.