Hostilian (takriban 230 - Novemba 251) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Juai 251 hadi kifo chake mwaka huohuo.

Sanamu la Hostilian

Alimfuata baba yake Decius na kaka yake Herennius Etruscus na kufuatwa na Trebonianus Gallus na Volusianus.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hostilian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.