Huayna Potosi ni mlima wa Andes katika nchi ya Bolivia (Amerika Kusini).

Mlima Huayna Potosi

Urefu wake ni mita 6,088 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri