Kijicho

(Elekezwa kutoka Husuda)

Kijicho ni hisia au kilema kinachomfanya binadamu asikitikie mambo mema waliyonayo wengine.

Invidia me comburit, kwenye Palazzo Ducale huko Venezia (Italia).
Vilema vikuu

Kutokana nacho mtu anawatenda namna isiyopendeza na kusababisha matatizo makubwa katika maisha ya jamii.

Kwa sababu hiyo katika maadili ya Kanisa Katoliki, kijicho ni kati ya vilema vikuu, yaani mizizi ya dhambi nyingine.