Illampú ni mlima wa Andes katika nchi ya Bolivia (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 6,368 juu ya usawa wa bahari.