Iluminata wa Todi

Iluminata wa Todi (alifariki Massa Martana au Todi, Umbria, Italia, 320 hivi) alikuwa mwanamke anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu bikira, pengine pia mfiadini[1][2][3].

Mt. Iluminata katika mchoro wa ukutani, Canzano.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Novemba[4]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Saint Illuminata. SPQN Saints Index. Jalada kutoka ya awali juu ya 22 December 2011. Iliwekwa mnamo 30 May 2011.
  2. Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome. Orthodox Europe. Iliwekwa mnamo 30 May 2011.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/79720
  4. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.