Insomniac ni albamu ya nane (na albamu yake ya nne kwa lugha ya Kiingereza) kutoka kwa mwimbaji Enrique Iglesias. Albamu hii imetayarishwa na John Shanks, Kristian Lundin, Sean Garrett, Anders Bagge, Marko Taylor, Stargate, na Maratone. Pia, ina mashirikiano yake ya kwanza na rapa (Lil Wayne) pamoja bendi ya Ringside kwenye wimbo wa "Tired of Being Sorry".

Insomniac
Insomniac Cover
Kasha ya albamu ya Insomniac.
Studio album ya Enrique Iglesias
Imetolewa Marekani 12 Juni 2007
Uingereza 11 Juni 2007
8 Julai 2008 (Re-Release)
Imerekodiwa 2006 - 2007
Aina Pop, R&B, Latin pop, synthpop
Urefu 58:91
Lebo Interscope
Mtayarishaji John Shanks, Kristian Lundin, Sean Garrett, Anders Bagge, Mark Taylor, Stargate, Maratone
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Enrique Iglesias
7
(2003)
Insomniac
(2007)
Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
(2008)
Single za kutoka katika albamu ya Insomniac
  1. "Do You Know? (The Ping Pong Song)"
    Imetolewa: 15 Mei 2007
  2. "Somebody's Me"
    Imetolewa: 8 Agosti 2007
  3. "Tired of Being Sorry"
    Imetolewa: 14 Septemba 2007
  4. "Push"
    Imetolewa: 14 Februari 2008
  5. "Can You Hear Me"
    Imetolewa: 27 Juni 2008

Albamu hii inasemekana kuwa tofauti na albamu zake za awali, kwa sababu inachanganya nyimbo za kisasa zaidi kuliko muziki wake wa pop. Vilevile, kuna hip hop na vipengele vya R & B na Kilatini kwenye albamu hii. Ilitolewa tarehe 12 Juni 2007 katika nchini Marekani na 11 Juni 2007 kote duniani.

Nyimbo zake

hariri
  1. "Ring My Bells" - 3:56
  2. "Push" - 3:53
  3. "Do You Know?(The Ping Pong Song) "- 3:40
  4. "Somebody's Me" - 4:00
  5. "On Top of You" - 3:40
  6. "Tired of Being Sorry" - 4:03
  7. "Miss You" - 3:23
  8. "Wish I Was Your Lover" - 3:25
  9. "Little Girl" - 3:47
  10. "Stay Here Tonight" - 4:15
  11. "Sweet Isabel" - 3:15
  12. "Don't You Forget About Me" - 3:12
  13. "Dímelo" - 3:39
  14. "Alguien Soy Yo" - 4:00
  15. "Amigo Vulnerable" - 4:03
  16. "Baby Hold On" (Lugha Bonus Track) - 3:49
  17. "Hero" (Thunderpuss Edit) (Ulaya na Asia Bonus Track)
  18. "Not in Love" (akimsh. Kelis) (Armand Van Helden Club Mix) (EU Bonus Track)
  19. "Can You Hear Me?" (Uefa Euro 2008 Theme Song) (Re-Release Bonus Track)
  20. "Laisse Le Destin L'emporter" (akimsh. Nâdiya) (Re-Release Bonus Track)
  21. "Do You Know?(The Ping Pong Song) "(Ralphi Rosario Na Christina CJ's Radio Edit) (Re-Release Bonus Track)

Toleo jipya nchini India ilikuwa na DVD iliyo na video za nyimbo "Do You Know", "Somebody's Me", "Tired of Being Sorry" na "Push" (akimsh. Lil Wayne).

Insomniac ilikuwa albamu ya kuuzwa zaidi katika mwaka wa iliyotolewa nchini Uhindi ambapo ilishinda hata Minutes to Midnight ya Linkin Park. Ilitolewa tena nchini India tarehe 8 Julai 2008, pamoja na dvd ya bure.

Chati (2007) Namba Thibitisho Mauzo
Australian Albums Top 50[1] 44
Austrian Albums Top 75[1] 14
Belgian (Flanders) Albums Chart[1] 38
Belgian (Wallonia) Albums Chart[1] 47
Danish Albums Top 40[2] 5
Dutch Top 100 Albums Charts[2] 6 Gold 30,000
Finnish Albums Top 40[1] 16
French Albums Top 150[1] 36 40,000
German Albums Top 50 14
Hungarian Albums Top 40 31
Indian International Album Chart[3] 1 Gold 100,000
Irish Albums Top 75 16 Platinum [4] 20,000+
Italian Top 100 Albums Chart 43 10,000
Mexican Top 100 Albums Chart[5] 4 Gold 50,000
Mexican International Top 20 Albums[6] 1 Gold 50,000
Polish Zpav/Olis Album Chart 13 Platinum 90,000
Russian Album Chart - 5x Platinum[7] 100,000
Spanish Top 100 Albums Chart[1] 3 30,000
Swedish Top 60 Albums Charts[2] 24
Swiss Albums Top 100[2] 8
UK Top 200 Albums Chart[2] 3 Gold 230,000
U.S. Billboard Top 200 Albums[2] 17 300,000

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 Enrique Iglesias - Insomniac - Music Charts
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 2.5 Enrique Iglesias - Insomniac - Music Charts
  3. "Indian International Album". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-07-04. Iliwekwa mnamo 2010-01-10.
  4. http://www.irishcharts.ie/awards/platinum07.htm
  5. "Mexican Top 100 Albums Chart - June 20th 2007" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-06-04. Iliwekwa mnamo 2010-01-10.
  6. "International Albums Chart - June 20th 2007" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-10.
  7. "Russian Album Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-24. Iliwekwa mnamo 2010-01-10. {{cite web}}: Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20090124001155/http://2m-online.ru/gold_n_platinum/detail.php?COUNTRY= ignored (help)