Enrique Miguel Iglesias Preysler (amezaliwa tar. 8 Mei 1975, mjini Madrid, Hispania) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana Julio Iglesias na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya telesheni wa Kifilipino Bi. Isabel Preysler.

Enrique Iglesias
Enrique Iglesias
Enrique Iglesias
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Enrique Miguel Iglesias Preysler
Amezaliwa 8 Mei 1975 (1975-05-08) (umri 49)
Madrid, Hispania
Asili yake Miami, Florida, US
Aina ya muziki Pop, Latin pop, R&B
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1995–hadi leo
Studio Interscope, Universal Music Latino
Ame/Wameshirikiana na Nadiya, Lil Wayne, Sean Garrett, Ciara, Whitney Houston, Sarah Connor, Lionel Richie, Kelis, Gabriella Cilmi, Tyssem
Tovuti www.enriqueiglesias.com

Enrique alianza shughuli za muziki na studio moja iitwayo Fonovisa Records ambayo ndio iliomsadia kuwa miongoni mwa wanamuziki maarufu huko Latin Amerika na katika soko la muziki wa Kilatin huko Marekani, na kuuza albamu nyingi za Kihispania kuliko msanii yoyote yule wa Kihispania, kwa muda wote.

Diskografia

hariri

Studio Albamu kwa Kihispania

hariri
  • 1995: Enrique Iglesias
  • 1997: Vivir
  • 1998: Cosas del Amor
  • 2002: Quizás

Studio Albamu kwa Kiingereza

hariri
  • 1999: Enrique
  • 2001: Escape
  • 2003: 7
  • 2007: Insomniac

Kompilesheni

hariri
  • 1998: Remixes
  • 1999: Bailamos Greatest Hits
  • 1999: The Best Hits
  • 2008: Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
  • 2008: Greatest Hits

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enrique Iglesias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.