Mlakasa
(Elekezwa kutoka Ipomoea pes-caprae)
Mlakasa (Ipomoea pes-caprae) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlakasa kwa pwani
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mlakasa au majani ya mwaka (Ipomoea pes-caprae) ni mmea wa familia Convolvulaceae unaokua kwa pwani za ukanda wa tropiki. Majani hutumika kama dawa tepetepe ya kubandika dhidi ya shida za ngozi k.m. macheraka, majipu, virugu, marugurugu na vidonda.
Picha
hariri-
Majani
-
Maua
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlakasa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |