Kaunti ya Isiolo
Kaunti ya Isiolo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Kaunti ya Isiolo | |
---|---|
Kaunti | |
Barabara kuu ya Marsabit-Isiolo | |
Isiolo County in Kenya.svg Kaunti ya Isiolo katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
Namba | 11 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Mashariki |
Makao Makuu | Isiolo |
Miji mingine | Merti, Archers Post, Garba Tula |
Gavana | Mohamed Kuti, EGH |
Naibu wa Gavana | Ibrahim Abdi Issa |
Seneta | Dullo Fatuma Adan |
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Rehema Dida Jaldesa |
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Isiolo |
Eneo | km2 25 360.6 (sq mi 9 791.8) |
Idadi ya watu | 268,002 |
Wiani wa idadi ya watu | 11 |
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti | isiolo.go.ke |
Imepakana na Kaunti za Marsabit, Samburu, Meru, Laikipia, Garissa, Tana River na Wajir. Mpaka wake na Kaunti ya Meru umekuwa na utata tangu kaunti zianzishwe[1].
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 268,002 katika eneo la km2 25,360.6, msongamano ukiwa hivyo wa watu 11 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako Isiolo.
Jiografia
haririKaunti ya Isiolo ina maeneo makavu na nusu kavu. Mvua hunyesha mara kwa mara.
Mto Ewaso Ng'iro (Kaskazini) hupitia katika kaunti hii[3].
Utawala
haririKaunti ya Isiolo imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[4]:
Eneo bunge | Kata |
---|---|
Isiolo North | Wabera, Bulla Pesa, Chari, Cherab, Ngare Mara, Burat, Oldo/Nyiro |
Isiolo South | Garba Tulla, Kina, Sericho |
- Garbatulla 99,730
- Isiolo 121,066
- Merti 47,206
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Lucy Kilalo, "Kaunti moja Pwani yapiga marufuku uuzaji miraa", Taifa Leo, ilipatikana 13-04-2013
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "A BRIEF FACTFILE ABOUT ISIOLO Archived 14 Novemba 2017 at the Wayback Machine.", Zero Violence254, ilipatikana 13-04-2018
- ↑ "Isiolo County", Infotrak, ilipatikana 13-04-2018
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Viungo vya nje
hariri0°53′00″N 38°40′00″E / 0.883333°N 38.6667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Isiolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |