Ivan Dias

Kadinali wa Kikatoliki (1936-2017)

Ivan Cornelius Dias (14 Aprili 193619 Juni 2017) alikuwa kardinali kutoka India katika Kanisa Katoliki.

Ivan Dias

Alitumikia kama Mkuu wa Idara ya Uinjilishaji wa Watu (Congregation for the Evangelization of Peoples) kuanzia mwaka 2006 hadi 2011, Askofu Mkuu wa Bombay kutoka 1996 hadi 2006, na kabla ya hapo alikuwa balozi wa papa katika maeneo ya Balkani, Asia ya Mashariki, na Afrika Magharibi.

Dias alipandishwa hadhi kuwa kardinali mwaka 2001.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Indian Cardinal Ivan Cornelius Dias dies – UCA News". ucanews.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-04.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.