Ivo Scapolo
Ivo Scapolo (alizaliwa 24 Julai 1953) ni kiongozi wa Italia katika Kanisa Katoliki ambaye amehudumu katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani tangu mwaka 1984, na amekuwa Balozi wa Papa katika nchi za Bolivia, Rwanda, Chile, na Ureno. Amekuwa Askofu mkuu tangu mwaka 2002.[1]
Marejeo
hariri- ↑ (in it) Rinunce e Nominee, 17 January 2008 (Press release). Holy See Press Office. 17 January 2008. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2008/01/17/0031/00071.html. Retrieved 20 April 2019.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |