6 Februari
tarehe
(Elekezwa kutoka Februari 6)
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Februari ni siku ya thelathini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 328 (329 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1922 - Uchaguzi wa Papa Pius XI
Waliozaliwa
hariri- 885 - Daigo, mfalme mkuu wa Japani (897-930)
- 1605 - Mtakatifu Bernardo wa Corleone, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1756 - Aaron Burr, Kaimu Rais wa Marekani
- 1892 - William Murphy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 1911 - Ronald Reagan, Rais wa Marekani (1981-1989)
- 1932 - Simeon Nyachae, mwanasiasa kutoka Kenya
- 1945 - Bob Marley, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1966 - Rick Astley
Waliofariki
hariri- 1593 - Ogimachi, mfalme mkuu wa Japani (1557-1586)
- 1740 - Papa Klementi XII
- 1916 - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 1952 - Mfalme George VI wa Uingereza
- 1989 - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 1991 - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1995 - James Merrill, mshairi kutoka Marekani
- 2002 - Max Perutz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1962
- 2014 - Maxine Kumin, mshairi kutoka Marekani
- 2015 - André Brink, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Paulo Miki na wenzake ishirini na sita, Antoliani, Silvano wa Homs na wenzake, Dorotea na Theofili, Mel, Vedasto wa Arras, Amando wa Maastricht, Renula, Guarino wa Palestrina, Brinolfo, Alfonso Maria Fusco, Fransisko Spinelli, Mathayo Correa n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 8 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |