Jacques Tuyisenge (alizaliwa 22 Septemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea Ligi ya kuu ya Angola,inayoitwa Peter de Luanda na timu ya taifa ya Rwanda.

Kazi ya klabu hariri

Alicheza katika klabu ya Gor Mahia kutoka klabu ya Polisi nchini Rwanda.Alijiunga na polisi akiwa na umri wa miaka 16.

Jacques Katika msimu wake wa kwanza alifunga magoli 11 akiwa na klabu ya polisi. Alikuwa na "kichwa cha ajabu" maana yake mara nyingi alikuwa anashinda magoli ya kichwa.

Alijiunga na Gor Mahia kwa bei ya dola 4000.Alifunga goli lake la kwanza dakika ya 21 dhidi ya Tusker akishinda tena kichwa.

Kazi ya kimataifa hariri

Mnamo 4 Juni 2016, alifunga magoli mawili katika ushindi wa nyumbani 3-2 dhidi ya timu ya taifa ya Msumbiji.


  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacques Tuyisenge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.