James Batcheller Sumner (19 Novemba 188712 Agosti 1955) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza vimeng'enya. Mwaka wa 1946, pamoja na John Howard Northrop na Wendell Stanley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

James Sumner
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James B. Sumner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.