James Dewey Watson

Tuzo Nobel.png

James Dewey Watson (amezaliwa 6 Aprili 1928) alikuwa mwanafizikia wa biolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi na mfumo wa molekuli mbalimbali, hasa DNA. Mwaka wa 1962, pamoja na Francis Crick na Maurice Wilkins alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

James Dewey Watson

Mwaka 2007 alijikuta katikati ya ugomvi kuhusu mahojiano aliporipotiwa kusema ya kuwa watu wa rangi nyeusi hawana akili sasa na Wazungu. Baadaye Watson karudi nyuma akieleza ya kwamba hakumaanisha alichosema.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Dewey Watson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.