James Ingram Merrill (3 Machi 19266 Februari 1995) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1977 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

James Merrill (1973)
Faili:James Ingram Merrill - 1970s.jpg
James Merrill, miaka ya 1970

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Merrill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.