Jana Amin

mwanaharakati wa haki za wanawake wa Misri na Amerika na mzungumzaji wa umma

Jana Amin ni mwanaharakati wa nchini Marekani mwenye asili ya Misri anayejulikana kwa kutetea utoaji elimu kwa wasichana na uwezeshaji wa wanawake.[1]

Alianza kazi yake ya kuwa mwanaharakati kwa kusimulia ukweli wa wanawake wa Kiislamu.[2]

Maisha ya awali

hariri

Jana alihamia nchini Marekani akiwa na umri mdogo. Mama yake Rana el Kaliouby ni mwanasayansi mashuhuri wa kompyuta na mjasiriamali.[3][4] Jana ana mdogo wake wa kiume.

Marejeo

hariri
  1. "Changing the narrative around Muslim Women and supporting girl's education with Jana Amin, Egyptian-American Advocate (#16)". This is Candor (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-03. Iliwekwa mnamo 2021-03-25. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Changing the narrative, one Muslim woman at a time | Jana Amin | TEDxYouth@BeaconStreet (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2021-03-25
  3. Kaliouby, Rana el (2019-05-11). "Affectiva Co-Founder Rana el Kaliouby on How She Built a Tech Startup as a Single Mom 5,000 Miles From Home". Inc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-25.
  4. Wu, Steffi (2020-04-01). "Rana el Kaliouby decodes her memoir "Girl Decoded"". Medium (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-25.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jana Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.