Jana Vojteková (alizaliwa 12 Agosti 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Slovakia ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya SC Freiburg kwenye ligi ya Frauen Bundesliga na timu ya taifa ya wanawake ya Slovakia.[1]

Jana Vojteková


Marejeo

hariri
  1. , www.soccerway.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jana Vojteková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.