Jane Seymour (mwigizaji)

Jane Seymour OBE (jina la kuzaliwa: Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg; 15 Februari 1951) ni mwigizaji wa filamu wa Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya James Bond - Live and Let Die na pia kucheza katika mfululizo wa kipindi cha TV cha Dr. Quinn, Medicine Woman.

Jane Seymour

Jane Seymour 2019 by Glenn Francis.jpg
Amezaliwa Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg
15 Februari 1951 (1951-02-15) (umri 73)
Uingereza Hayes, London, Uingereza
Ndoa Michael Attenborough (1971-1973)
Geoffrey Planer (1977-1978)
David Flynn (1981-1992)
James Keach (1993-)
[www.janeseymour.com Tovuti rasmi]

Filamu maarufu

hariri
  • Live and Let Die (1973)
  • Sinbad and the Eye of the Tiger (1977)
  • Battlestar Galactica (1978)
  • Somewhere in Time (1980)
  • The Scarlet Pimpernel (1982)
  • Lassiter (1983)
  • Head Office (1985)
  • War and Remembrance (1988)
  • Wedding Crashers (2005)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jane Seymour (mwigizaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.