Jangwa la Nyiri (pia Nyika au Jangwa la Taru) ni jangwa linalopatikana kusini mwa Kenya, mashariki kwa ziwa Magadi na kati ya Hifadhi za Taifa za Amboseli, Tsavo West na Nairobi.

Jangwa la Nyiri katika ramani.

Sehemu kubwa ya kaunti ya Kajiado imo katika jangwa hilo. Ukame wake unasababishwa na Mlima Kilimanjaro.

2°23′48″S 37°15′38″E / 2.39667°S 37.26056°E / -2.39667; 37.26056