Jasper Cillessen (alizaliwa 22 Aprili 1989) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Hispania iitwayo Barcelona F.C. na timu ya taifaya Uholanzi.

Jasper Cillessen

Alijiunga na klabu ya Ajax kwa 3,000,000 mwaka mmoja baadaye. Alicheza mechi 141 kwa misimu sita. Mnamo 2016, alijiunga na Barcelona kwa 13 milioni.

Mnamo Mei 2011, aliitwa kwa mara yake ya kwanza katika timu ya taifa ya Uholanzi. Alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa mwaka 2013 na alikuwa kipa wa kwanza wa Uholanzi kumaliza kama washindi wa tatu katika Kombe la Dunia la FIFA la 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jasper Cillessen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.