Java ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumatra.

Ramani ya Java.
Mahali pake.

Eneo la kisiwa ni km² 138,794.

Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 143. Watu wakaao kisiwani mwa Java huongea lugha mbalimbali, hasa Kijava, Kisunda na Kimadura.

Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Jakarta.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.