Kijava
(Elekezwa kutoka Javanese language)
Kijava ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wajava kwenye kisiwa cha Java ambapo ni lugha rasmi ya jimbo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijava imehesabiwa kuwa watu milioni 84.3. Pia kuna wasemaji 300,000 nchini Malaysia (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijava iko katika kundi lake lenyewe la Kijava.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijava kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijava Ilihifadhiwa 19 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kijava katika Glottolog
- lugha ya Kijava kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijava kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |