Jeremiah Solomon Sumari

Jeremiah Solomon Sumari (2 Machi, 1943 hadi 19 Januari, 2012) alikuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Jeremiah Solomon Sumari (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-25. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.