Jimbo Katoliki la Mbulu
Jimbo Katoliki la Mbulu (kwa Kilatini "Dioecesis Mbuluensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.
Askofu wake ni Anthony Lagwen.
Historia
hariri- 1943: Kuanzishwa kwa Apostolic Prefecture ya Mbulu kutokana na Apostolic Vicariate ya Dar-es-Salaam
- 1952: Kupandishwa cheo kuwa Apostolic Vicariate ya Mbulu
- 25 Machi 1953: Kufanywa dayosisi
Uongozi
hariri- Maaskofu wa Mbulu
- Anthony Lagwen (tangu 22 Mei 2018)
- Beatus Kinyaiya OFMCap (2005 - 2014)
- Juda Thadaeus Ruwa’ichi OFMCap (1999 – 2005)
- Nicodemus Atle Basili Hhando (1971 – 1997)
- Patrick Winters SAC (1953 – 1971)
- Vicar Apostolic wa Mbulu
- Patrick Winters SAC (1952 – 1953)
- Prefect Apostolic wa Mbulu
- Patrick Winters SAC (1944 – 1952)
Takwimu
haririEneo ni la kilometa mraba 16,057, ambapo kati ya wakazi 1,250,417 (2016) Wakatoliki ni 339,619 (27.2%).
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mbulu kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |