Jimbo la Denguélé


Jimbo la Denguélé (kwa Kifaransa: District du Denguélé) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kaskazini magharibi mwa nchi[1].

Jimbo la Denguélé
Jimbo la Denguélé is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Denguélé
Jimbo la Denguélé

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 9°38′16″N 7°23′24″W / 9.63778°N 7.39000°W / 9.63778; -7.39000
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Denguélé
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 289,779[1]

Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 289,779[1].

Makao makuu yako Odienné.

Mikoa hariri

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 "Districts of Côte d'Ivoire (Ivory Coast)". Statoids.com. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.