Majimbo ya Cote d'Ivoire

(Elekezwa kutoka Majimbo za Cote d'Ivoire)


Majimbo ya Cote d'Ivoire (kwa Kifaransa: Districts de Côte d’Ivoire) ni ngazi ya kwanza ya ugatuzi nchini. Majimbo yaliundwa mwaka 2011 lakini katika hali nyingi hayajaanza kufanya kazi kama mashirika ya serikali.

Kuna majimbo 14, ikiwa ni pamoja na majimbo huru mbili ambazo ni miji ya Yamoussoukro na Abidjan. Ingawa hayajagawanywa katika mikoa, majimbo huru huwa na wilaya (kwa Kifaransa: départements), tarafa (kwa Kifaransa: sous-prefectures) na miji.

Majimbo 12 yaliyobaki yamegawanywa katika mikoa 31, ambayo imegawanywa katika wilaya zaidi ya 108. Wilaya hizo zimegawanywa katika tarafa 509.

Majimbo

hariri
Majimbo Makao makuu Mikoa Makao makuu Idadi ya watu
Abidjan
(Uhuru jimbo la Abidjan)
4,707,404
Bas-Sassandra
(Jimbo la Bas-Sassandra)
San-Pédro Gbôklé Sassandra 400,798
Nawa Soubré 1,053,084
San-Pédro San-Pédro 826,666
Comoé
(Jimbo la Comoé)
Abengourou Indénié-Djuablin Abengourou 560,432
Sud-Comoé Aboisso 642,620
Denguélé
(Jimbo la Denguélé)
Odienné Folon Minignan 96,415
Kabadougou Odienné 193,364
Gôh-Djiboua
(Jimbo la Gôh-Djiboua)
Gagnoa Gôh Gagnoa 876,117
Lôh-Djiboua Divo 729,169
Lacs
(Jimbo la Lacs)
Dimbokro Bélier Yamoussoukro 346,768
Iffou Daoukro 311,642
Moronou Bongouanou 352,616
N'Zi Dimbokro 247,578
Lagunes
(Jimbo la Lagunes)
Dabou Agnéby-Tiassa Agboville 606,852
Grands-Ponts Dabou 356,495
La Mé Adzopé 514,700
Montagnes
(Jimbo la Montagnes)
Man Cavally Guiglo 459,964
Guémon Duékoué 919,392
Tonkpi Man 992,564
Sassandra-Marahoué
(Jimbo la Sassandra-Marahoué)
Daloa Haut-Sassandra Daloa 1,430,960
Marahoué Bouaflé 862,344
Savanes
(Jimbo la Savanes)
Korhogo Bagoué Boundiali 375,687
Poro Korhogo 763,852
Tchologo Ferkessédougou 467,958
Vallée du Bandama
(Jimbo la Vallée du Bandama)
Bouaké Gbêkê Bouaké 1,010,849
Hambol Katiola 429,977
Woroba
(Jimbo la Woroba)
Séguéla Béré Mankono 389,758
Bafing Touba 183,047
Worodougou Séguéla 272,334
Yamoussoukro
(Uhuru Jimbo la Yamoussoukro)
355,573
Zanzan
(Jimbo la Zanzan)
Bondoukou Bounkani Bouna 267,167
Gontougo Bondoukou 667,185