Job Yustino Ndugai

Job Ndugai, 2017

Job Yustino Ndugai (amezaliwa tar. 21 Januari 1960) ni mbunge wa jimbo la Kongwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Job Yustino Ndugai (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.